Vyombo vya habari Tanzania vimetakiwa kuwa na sera ndogo ya kupinga rushwa ya ngono katika vyumba vya habari inayoonekana kushamiri katika kipindi cha hivi karibuni hasa kwa waandishi waolipwa kwa ...
Wizara ya Afya nchini Tanzania leo imezindua mpango mpya wa kudhibiti UKIMWI, Magonjwa ya ngono na homa ya ini kwa pamoja, huku tafiti zikionyesha ongezeko la magonjwa ya ngono nchini humo. Akizindua ...
Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) nchini Tanzania kimetoa taarifa kwa umma kujibu tuhuma dhidi ya mwanataaluma wa chuo hicho. Chanzo cha picha, University of Dodoma Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) nchini ...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameunda kamati maalum ya watu 17 ili kuhakikisha kuwa watu wanaofanya biashara chafu za ngono wanachukuliwa hatua za kisheria. Kamati hiyo ambayo ...